Jitihada za Kuondoa Gesi Haribifu

Tangu mwaka 1980, kumekuwa na jitihada nyingi sana za kupunguza joto dunia. Kumekuwa na kampeni za kila namna ili kuona hali zinabalika, inakisiwa kuwa mwaka huo 1980 ndipo kuliponza uharibufu mkubwa wa mabadiliko ya tabia nchi, kwakuwa mwaka huo kulikuwa na matumizi makubwa sana wa gesi aina ya chlorofluorocarbons (CFCs). Nini basi kilifanyika ili kupunguza hali hiyo iliopelekea dunia tunayo kaa kuwa na kiasi kikubwa cha joto? Haraka sana wanasayansi wa mazingira na mambo ya kemikali walikuja na wazo la kupiga maruku kwa gesi ya (CFCs), na kuwashauriana kutokeza gesi za aina nyingine ambazo zinakuwa rafiki ya mazingira na kupunguza joto duniani na kupunguza uaribufu wa anga la dunia. Ukumbuke kuwa gesi ya (CFCs) ndiyo gesi ilikowa maaarufu duniani kwa kutumika katika vifaa vya kupoozea kama friji. Hivyo kama unatumia gesi hiyo, ujue nawe ni kati wanaochangia kuaribu anga la dunia na kuongeza joto duniani. Wanasayansi wanasema kuwa kiwango cha joto kimeongezeka hadi 0.1 Centigrade tangu karne ya 20.

Unasemaje kuhusu makala hii?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s