Technology

Hapa LG G Frex ikiwa katika muonekano wa bapa (Flat shape).

 Picture

Neno Frex linawakilisha Flexible yaani nyumbulika. Unapotazama picha ya chini utaona umbo la simu hiyo likiwa katika muundo tofauti na wa hapa juu. Simu chini ipo katika umbo la mkunjo hu

Hapa LG G Frex ikiwa katika muonekano wa bapa (Flat shape).

 

Neno Frex linawakilisha Flexible yaani nyumbulika. Unapotazama picha ya chini utaona umbo la simu hiyo likiwa katika muundo tofauti na wa hapa juu. Simu chini ipo katika umbo la mkunjo huku ikiwa inafanya kazi bila kuathiri chochote.


Picture

LG inatarajia kuitangaza simu yake mpya ifikapo Novemba 12 mwaka huu, ni LG G Frex, simu hiyo ni tofauti na ile ya Samsung Galaxy Round ambayo sasa imengia sokoni tayari. Ni tofauti kuanzia bodi yake, kioo na betri inalotumia,inanyumbulika yaani hata wewe unauwezo wa kuipinda pinda bila kuiathiri mfumo wa ufanyaji kazi wa simu hiyo. Na inawezeshwa kwa chipset aina ya snapdragon 800 hivyo kuifanya ifanye kazi kwa haraka zaidi katika mtandao wa 3G na 4G. Na inatarajiwa kutangazwa katika Nchi za Ulaya, USA na China.
Tunasubiri itapokuwa sokoni mambo yatakuwaje.
Karibu kwa maoni kuhusu habari hii.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s