UNAWEZA KUTENGENEZA UMEME WAKO NYUMBANI KWA NJIA RAHISI NA UTAKAOKUSAIDIA KUCHAJI SIMU YAKO

ImageWakati fulani simu yako inakosa chaji kwakuwa hakuna umeme nyumbani kwako au wakati mwingine hakuna umeme kwa sababu ya mgao wa mara kwa mara na hivyo kuleta usumbufu mkubwa pindi unapohitaji angalau hata kuchaji simu yako.

Basi ondoa shaka hapa utapata suruhisho la tatizo lako na kujipatia mbinu mpya ya kuzalisha umeme nyumbani kwako. Naelewa sasa unahamu kubwa ya kujua jinsi gani utafanikiwa kufanya hivyo.

Utahitaji kuwa na vifaa vitakavyokusaidia kutimiza jambo hili. Vifaa hivyo ni rahisi kupatika katika eneo lenu kwa gharama nafuu, vinapatika katika maduka ya vifaa vya umeme au vifaa vya ujenzi.

Vifuatavyo ni vifaa unavyopaswa kuwa navyo:-

  1. Nyundo
  2. Misumali
  3. Msumeno
  4. Mbao  4”
  5. Dynamic motor cycle
  6. Plastiki tupu za maji 4
  7. Waya wa futi 12 – 15
  8. Mti mrefu wa futi 10/ bomba lenye urefu wa futi 10.
  9. Seal tape 1
  10. Swichi ya kitandani (bed switch)
  11. Switch socket
  12. Bisibisi ya flat na star
  13. Transformer  ya DC to AC

Hivyo juu ni vitu muhimu sana katika kazi ya kutokeza umeme utakao kusaidia kuchaji simu yako au hata kusikiliza Redio yako ndogo ukiwa nyumbani.

Tuonane katika makala ifuatayo nitakayo kuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kuunganisha vifaa hivyo na mwishowe ujipatie umeme huku ukiwa umetumia gharama ndogo sawa na bure.

Je, una maoni kuhusu makala hii? Nitumie maoni yako hapa chini kwenye kisanduku.

 

32 thoughts on “UNAWEZA KUTENGENEZA UMEME WAKO NYUMBANI KWA NJIA RAHISI NA UTAKAOKUSAIDIA KUCHAJI SIMU YAKO

  1. HABARI ZA SAA HIII,,,MM NIMEVUTIWA NA MAKALA YAKO,,ILA TATIZO NIKWAMBA MAKALA YAKO HAIJA KAMILKA,,,HIVYO BASI TUNAOMBA UTUSAIDIE KUONYESHA JINSI YA KUUNGANISHA,,,,NA SWALI NI KWAMBA JE UNAWEZA KUTUMIA UMEME HUO KUANGALIA/WASHA TV

    Like

    • Asante sana kwanza kwa comment yako nzuri na pili kwa kutembelea blog hii ya The click Technology. Kwa ufupi umeme huu si rahisi kuwashia TV, isopokuwa kama utatumia kifaa kinachoitwa Inverter ili kubadili umeme wa DC kuwa AC kwakuwa TV za kawaida hutumia umeme angalau kuanzia Volt 110 hadi 240. Kuhusu sasa makala hii nitaimalizia vizuri ili ieleweke. Asante na karibu tena ili kujua kinachoendelea hapa.

      Like

  2. Nimeipenda xana style hiyo ya kufua umeme japo cjajua muendelezo wake. Asante na ninakupa pongezi za kutosha.

    Like

  3. Kama vip tukutane Whatssapp no. 0786595674
    fb: Hussein Jb shija

    Like

  4. ASANTE KWA COUMENT YAKO NZURI.
    JE, KAMA UNA SOLAR PEKE YAKE, NA HUNA UWEZO WA KUVINUNUA VITU VINGINE (SYSTEM), NA UNAHAMU UWASHE ANGALAU LAPTOP. NITAFANYAJE. NISAIDIE.

    Liked by 1 person

    • Ni muhimu sana kuwa na kifaa aina ya Invetor ili kubadili umeme wa solar kuwa wa kawaida, kwakuwa ili betri ya LapTop ipate chaji ya kutosha ili ijaye inahitaji nguvu ya V 19 Wakati kila cell ya panel ya solar inatoa wastani wa DC V 12 tu sawa na betri ya gari.

      Like

    • Asante karibu tena, nitakupatia maelekezo vizuri ili kufanikisha mapango wako.

      Like

  5. mko vizuri sana jamani kufunga sasa ndo shida

    Like

  6. Hongera sana ndugu, nimeipenda sana makala yako hii lakini imekuwa kidogo mno. Kwa mimi mwenye ujuzi kiasi wa electric and electronics, nilitamani sana uimalizie hii makala, na pia naomba kama ikikupendeza, unitumie maelekezo namna ya kuunga mfumo huo kisha nipate hiyo nishati. mwisho nauliza swali, je, hiyo ni nishati ya moja kwa moja ama ina usumbufu kama wa solar? Solar ikikosa jua kwa mfano kwa siku mbili au tatu mfululizo, inakosa nguvu ama isifanye kazi kabisa hadi jua liwake tena kwa siku kadhaa. Ahsante. E-Mail; melmarandu12@gmail.com

    Liked by 1 person

  7. wazo zuri sana bro lakini kwann haya maelezo umeyagawa ka

    Liked by 1 person

  8. upon vizuri sana lakini likini mbona haumalizii hio topic naisubiria kwa Hamu

    Like

  9. mimi hivyo vifaa vyote vipo tatizo ni namna ya kuunganisha ,halafu kama inawezekana naomba mbinu nyingine za kuunda umeme!

    Like

  10. Naomba unitumiye picha jishi yakuunganisha hivi vifaaa

    Like

  11. sasa mbona hyo mada yenyewe haimaliziwi

    Like

  12. Nahitaji kujua muendelezo wa kutengeneza umeme wa choo

    Like

  13. Nataka kujua km naweza tumia kulea vifaranga huo umeme maana nataka nifuge kuku bt sina umeme.sorry nisaidie!

    Like

  14. habari zenu ndugu zangu watu wapendao umeme ( Electrician )
    Nimekua nikipata cm nyingi sana watu wakidhani me ndo mtoa mada hapo juu. Nimekua nikipata wakati mgumu sana kuwajibu maswali wanayoniuliza.
    Jaman wadau me pia ni mpitaji tu kama ninyi mlivopita na kusoma mada hii.
    Hussein Jb Shija

    Like

  15. mbona muendelezo hakuna jinsi ya kutengeneza huu umeme yani umetaja vifaa tu

    Like

  16. Tuonyeshe kwa vitendo hatua kwa hatua, asante.

    Like

  17. HABARI
    nataka kujuwa kuhusu hii motor sycle je motor ipi inaweza kutosheleza katika matumiza ya uzalishaji wa umeme kati ya motor vot 6 na vot 12 ipi inaweza kuzalisha kwa ufanisi zaidi?

    Like

Leave a comment