HABARI MPYA SOKONI KUHUSU NOKIA

Ni baada ya kampuni ya Microsoft kununua umiliki wa kampuni ya Nokia na hata kubadilisha jina na sasa Simu zilizokuwa na jina la Nokia Lumia na kuondoa jina hilo sokoni na kuingiza jina jipya la Microsoft Lumia.

Basi mambo yabadilika.. waThe click tehnologyfanyakazi wa kampuni ya nokia yaamua kuendelea jina lao. Na sasa wametangaza bidhaa mpya ya Nokia Tablet ikitumia Android. Wale wapenzi wa bidhaa za Nokia kilio chenu kimesikiwa. Hivyo ukienda dukani uchaguzi ni wako ununue Microsoft Lumia zinazotumia Window ambayo sasa ni mali ya Microsoft ya Marekani au Nokia Tablet na nyingine zikazofuata Kutoka Nokia Finland. Na jambo la kufurahisha kwa kampuni ya Nokia ilipotoa tablet yake ya kwanza na kuipeleka kwa mauzo nchini China walifanikiwa kuuza tablet 20,000 ndani ya dakika 4 tu. Hiyo inaonyesha dalili njema kwa Nokia. ‪#‎IDEA‬+

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s