JE, WAJUA MBINU YA KUNGUNDUA KAMERA ILIOFUNGWA KATIKA CHUMBA CHA HOTEL?

Je, wajua mbinu ya kugundua kamera iliofungwa katika chumba cha hotel?

Fanya hivi ufikapo kwenye hotel ambazo hasa wamekuwa wakitumia kamera hizo kwa lengo la usalama kwa mteja hata kuna baadhi wamevuka na wamejikuta wanaweka hata vyumbani..fuata hatua hizi ili kugundua angalizo unapaswa kuwa kutumia simu kwa kazi hii na iwe na kamera iwe smartphone au la itakupa jibu tu..sasa tuanze:

1. Ingia chumbani na shusha pazia za dirisha/madilisha.
2. Ikiwa ni jioni hapo zima taa hakikisha kuwe na giza au mwanga hafifu.
3. Sasa chukua simu yako na washa/fungua sehemu ya kamera.
4. Ielezeke kila upande kuzungu chumba ukianza kwenye kona za dari na kwenye kuta.
5. Ikiwa kutakuwa kuna kamera chumbani utaona doa linalong’aa kwenye kamera ya simu yako la rangi nyekundu au nyeupe.
NB:Ni uamuzi wako kurudisha chumba au la!‪#‎IDEA‬+

One thought on “JE, WAJUA MBINU YA KUNGUNDUA KAMERA ILIOFUNGWA KATIKA CHUMBA CHA HOTEL?

  1. Pingback: JE, WAJUA MBINU YA KUNGUNDUA KAMERA ILIOFUNGWA KATIKA CHUMBA CHA HOTEL? | The Click Technology

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s