LINDA SIMU YAKO ZIDI YA VIRUS

Simu yako ya smart leo ni sawa na kompyuta yako nyumbani au ofisini. Zinakabiri tatizo sawa la kuvamiwa na virus.

Ikikumbukwe virus ni aina ya software/program ambayo hufanyakazi tu ya kuvuruga, kuiba au kufanya kifaa unachotumia kufanya kazi chini ya kiwango au hata kutofanya kazi kabisa.

Virus zinakazi maalum hasa ya uhalifu, kwani waliotengezea huzitumia kupata taarifa za siri toka simu yako kama taarifa ulizitunza ambazo zinaweza kuwa picha, password,documents, na hata virus nyingine hubadili file mfano la picha kuwa maandishi na nyingine inazalisha file moja kuwa mengi zaidi,na nyingie huweza kufungua kamera ya simu yako na kukupga picha bila kujua (hapa sasa jiwaziwe unachat wakati sijui umevaa nini kaz kwako).

Nini cha kufanya?
1. Hakikisha unaweka anti-virus kwenye simu.
2. Update mara kwa mara anti-virus.
3. Epuka kudownload application nje ya Google play store au Apple app store.

Anti-virus bora.
1. AVG
2. NORTON
3. KASPESKY
4. AVAST
‪#‎IDEA‬+

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s