JE, UMETAMANI KWA MUDA KUTUMIA WHATSAPP KWENYE PC YAKO?

Fuata njia hii rahisi sana ili uweze kutumia Whatsapp kwenye PC yako.

1. Nenda kwenye computer yako
2. Fungua search engine ya google au yahoo na n.k
3. Tafuta Google Crome na download kwenye computer yako kisha
4. Weka address hii https://web.whatsapp.com kwenye sehemu ya juu ya kuandika address.
5. Subiri kwa sekunde chache ili upate alama ya QR Code ambayo itajitokeza kwenye screen yako ya computer kisha
6. Tumia whatsapp camera toka katika simu yako ku-scan alama ya QR na baada ya hapo whatsaap itafunguka kwa computer yako na anza kurahia.

Ikiwa unaswali kuhusu hili unakaribishwa na kama unajambo la kuchangia unakaribishwa kwa mchango au maoni yako. ‪#‎IDEA‬+

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s