downloadHili halitasaulika kwa kampuni hii maarufu duniani ya kutengeneza ant-virus aina ya BitDefender baada ya kuvamiwa kwenye mifumo yake na wadukuzi wanaojiita DetoxRansome. Jamaa hawa walifanikiwa kupata password za account kadhaa za watumiaji wake na kuzivuruga. Hata hivyo kampuni ya Bitdefender imeeleza kuwa ni akaunti chache tu zilizukuliwa ila hajasema ni akaunti ngapi.
Je, upo salama? Kumbuka kutunza faragha yako wakati wote. ‪#‎IDEA‬+

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s