JE, UNATAMANI KUUNDA APP KWA SHUGHULI ZAKO?

Wengi wanatamani kuwa App zao kwa ajili shughuli zao kama biashara, huduma za afya au kibenki na n.k.

Ukweli kuunda App si kazi rahisi na kama unavyoweza kuzania. Inahitaji ujuzi wa kutosha kuhusu maswala ya programing. Hata hivyo usiogope hata wewe ukiwa wakati wa kutosha kuamua kufanya haya utaweza.

Jambo la muhimu kabla ya kuunda App ni lazima uwe na wazo la nini unataka ifanye hiyo App, mfano:App itatumika kwa biashara?,je, itatumika kuunganisha wateja wako na wewe? Au kutoa taarifa ya punguzo la bei au bidhaa mpya?.
Lazima ujue App yako itatumika katika OS gani? Mfano:Window, Android au iOS na n.k.

Mwisho je, App yako utaiuza au ni ya bure? inamaana watu hawatalipia ili wai-download au itakuwa ya bure kwa mtu yoyote?. Usikose kurudi tena hapa kujua Program zitakokusaidia kuunda App yako. ‪#‎IDEA‬+

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s