WATUMIAJI WA IPHONE WALALAMIKA

Watumiaji wa simu aina ya Iphone walalamika kuwa app ya facebook inawamalizia haraka chaji katika simu za. Hivyo imewakosesha raha kwakuwa inawafanya kuutumia mtandao huo wa kijamii mara chache zaidi.

Je, wewe umekabili tatizo kama hili katika simu yako?

Hata hivyo facebook wameahidi kushughulikia tatizo hili.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s