TECNO T733 UNAIJUA?

Ni simu toka kampuni ya TECNO, ni simu ya kawaida inayoyutumia line nne ikiwa na kioo kikubwa cha 2.5″ na inauwezo wa kutumia memory kadi ya hadi 32GB pia ina kamera ya VGA hii ni kamera ya kawaida sana.

Sifa za simu:
– kamera: VGA ikiwa na flashlight
Betri: 1700mAh
– Body: Plastiki
– Colour: Gold, sliver
– line: Sim kadi 4
– Power saving management

Mapungufu ya hii simu:
– ina app  ya Facebook, Twitter, na Google lakini kati hizo ni facebook tu ndiyo yafanyakazi .
– haikubali kupakuwa app zaidi ikiwa utahitaji kufanya hivyo.
– Game moja ya kawaida sana na huwezi kuongeza game yoyote katika simu hii.
– kioo hubadikika rangi wakati wowote na kuwa rangi ya brown hasa utakapotumia fb au kupiga picha.

Sikushauri kununua simu hii. Kabla ya kuamua kununua simu fanya uchunguzi Kwanza. Sasa kuna simu nyingi za copy. Namaanisha kuna simu nyingi zina-copy simu halisi kwa karibu kila kitu inahitaji umakini mkubwa uweza kuuziwa hizo copy badala ya simu halisi.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s