WHATSAPP

Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Whatsapp kwenye simu za Android sasa wataweza kutunza kumbukumbu zao kwa njia rahisi kupitia Google drive na ikiwa utaziitaji wakati wowote itakuwa rahisi kuzipakua (download) tena kuziweka kwenye simu yako.

Kumbuka google drive huweza kutunza file zako za picha, video, sauti na maandishi.
Ukiwa na swali maoni unakaribishwa. ‪#‎IDEA‬+

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s