JINSI YA KUUNGANISHA INTERNET KWENYE SIMU YAKO

Wakati fulani uwenda umekuta simu yako haionyeshi dalili kama kuna mtandao wa internet, kwa mfano alama kama hizi E, au GPRS au 3G au 4G hazionekani Karisa. Hii inamaana kuwa kiunganishi cha mtandao au setting za mtandao hakuna kwenye simu yako na pia uwenda ulifuta kwa makosa.
Basi hapa nakupa njia rahisi za kurekebisha tatizo hili mwenyewe bila kuaribu pesa ya kumpa fundi:-
1. Unaweza kuwasiliana moja kwa moja na mtoa huduma wa kampuni ya simu na kuwaeleza tatitozo ulilonalo na ukasaidiwa. Hata hivyo uwenda njia hii ikawa ngumu wakati filani kwani unaweza piga simu ikakosa kupokelewa. Basi weza kufanya kwa njia hii ya
2. Hii ni njia rahisi zaidi na utaweza kumsaidia hata jirani yako
*Nenda kwenye settings kisha bofya kwenye neno more kisha tafuta neno lililo andikwa Mobile networks bofya hapo sasa nenda moja kwa moja kwenye sehemu ilioandikwa Access point names itakuletea mtandao wa simu inaoutumia chagua mtandao mmoja wapo kwa mfano Tigo au Vodacom baada ya kifanya hivyo patafunga na kukuta ukurasa ukiwa hauna Kitu hapo utafanya hivi basi nenda kwenye button ya kushoto chini na bofya hapo kutatokea neno New APN bofya hapo kutatokea setting.
*kwenye name – Angola kwa Vodacom Internet
*kwenye APN – Andika neno Internet
Kisha bofya tena pale chini kushoto kisha save hapo tayari anza kutumia intaneti yako bila shida. Kama kuna swali karibu

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s