JE, UMEJIANDAA KUISHI BILA MAWASILIANO?

Uwenda ni swali la kukushangaza kidogo, lakini ukweli ni kwamba imebaki siku moja tu kuelekea tarehe na siku iliopangwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA kuzikatia mawasiliano simu zote feki hapa nchini. Ndipo swali likawa hilo la kichwa cha habari hapo juu. Hakika ni muhimu kujipanga kifedha ili uendelee kufurahia mawasiliano upya baada ya tarehe 16/6/2016.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s