​JE, UNGEPENDA KUFANYA TV YAKO KUWA YA KISASA ZAIDI? (SMART TV 📺) 

Hapa nazungumzia TV zenye uwezo wa kuonganishwa na cable aina HDMI, cable hiyo zimeundwa kupitisha Picha bora na muonekano angavu zaidi ukilinganisha na cable za AV ambazo watu wengi wamekuwa wakizitumia. 

Sasa tuone ni namna gani waweza kuifanya TV yako kuwa ya kisasa zaidi kama TV aina ya Smart ambazo TV hizo zimeundwa zikiwa na mfumo bora unaokuwezesha kutazama channels toka sehemu mbalimbali duniani, kutumia internet na n.k.
Unachotakiwa kufanya ikiwa TV yako ina port ya kupachika hiyo cable, nunua huo wire na connector inayoitwa HDML. Kifaa hiko ni maalumu kwa ajili ya kuunganisha na kifaa kingine chenye uwezo wa internet. Baada Ya kufanya hivyo (hangalizo ni muhimu uwe na simu aina smartphone 📱 ) 

Ikiwa vifaa vyote vipo ni kazi rahisi, onganisha cable yako kwenye TV kisha weka connector ambayo utapachika kwenye simu yako. Ruhusu simu kufanya connection na TV yako, kisha washa Internet data. 
Sasa kazi itakuwa imekwisha kila kitu kwenye simu kitaonekana kwenye uso wa TV yako. Waweza kuchapa kazi zako kwa uhuru zaidi, pia waweza kununua wireless keyboard 🎹 Na kuonganisha na simu yako pamoja na TV ukafanya kazi zako. 

Tazama YouTube kwenye TV yako sasa. 

Ukikwama karibu tusaidiane, maoni yanakaribishwa. Try It

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s