Wi-Fi??

Bila shaka unaifahamu huduma hii ya wireless inayopatika katika simu zetu za mkononi na katika maeneo mbalimbali ya burudani, hotels, vituo vya bus na n.k.

Huduma hii imekuwa ikitumika sana hasa katika kuunganisha huduma ya Internet kwa njia ya wireless kutoka kufaa kimoja hadi kingine chenye uwezo huo/huduma hiyo ya wi-fi. Waweza unganisha simu yako na kompyuta yako ili kupata huduma ya Internet bila kuonganisha na wire au kati ya simu yako na jirani yako. 

Lakini njia hii inachangamoto ambayo uwenda si rahisi kuigundua na wakati mwingine ni kwasababu hatujui kile kinachoweza kutokea. 

Basi ukweli ni kwamba hii ni huduma bora inayokuwa kwa kasi sana duniani, lakini kuna changamoto kubwa pia hasa kwa usalama, unapaswa kuchukua taahadhari ikiwa wewe ni mpenzi wa kutumia wi-fi hasa kwenye maeneo ya uma. Yafutayo yatakusaidia.

1. Usiache Wi-Fi wazi ikiwa huitumii kwa wakati huo kwani wapo wezi wa mtandaoni wanauweza kuingilia simu yako kwa njia hiyo.

2. Usikubari mtu usiye mjua au usiemuamini atumie internet kupitia wi-fi ya simu yako kwani uwenda akawa ni mwizi wa mtandaoni. Kwakuwa anaweza kuingilia simu yako na kukusanya taarifa muhimu.

3. Hakikisha imeweka security code kwenye kifaa chako cha Wi-Fi ili iwe vigumu mtu access data.

4. Weka program itayokusaidia kukutambulisha ikiwa kuna mtu aliyejaribu kuingilia simu yako kupitia wi-fi au kukujulisha wi-fi unayotaka kuonganisha si salama.

Asante, nashukuru kwa kusoma taarifa hii waweza mjulisha mwingine kutembelea ukurasa huu. Nitafurahi pia kupata maoni yako.

#beSecure

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s