What is a Trojan Virus?

A Trojan horse or Trojan is a type of malware that is often disguised as legitimate software. Trojans can be employed by cyber-thieves and hackers trying to gain access to users’ systems. Users are typically tricked by some form of social engineering into loading and executing Trojans on their systems. Once activated, Trojans can enable cyber-criminals to spy on you, steal your sensitive data, and gain backdoor access to your system.

These actions can include:
• Deleting data
• Blocking data
• Modifying data
• Copying data
• Disrupting the performance of computers or computer networks

How Trojans can impact you
Trojans are classified according to the type of actions that they can perform on your computer:

• Backdoor
A backdoor Trojan gives malicious users remote control over the infected computer. They enable the author to do anything they wish on the infected computer – including sending, receiving, launching, and deleting files, displaying data, and rebooting the computer. Backdoor Trojans are often used to unite a group of victim computers to form a botnet or zombie network that can be used for criminal purposes.

• Exploit
Exploits are programs that contain data or code that takes advantage of a vulnerability within application software that’s running on your computer.

• Rootkit
Rootkits are designed to conceal certain objects or activities in your system. Often their main purpose is to prevent malicious programs being detected – in order to extend the period in which programs can run on an infected computer.

• Trojan-Banker
Trojan-Banker programs are designed to steal your account data for online banking systems, e-payment systems, and credit or debit cards.

• Trojan-DDoS
These programs conduct DoS (Denial of Service) attacks against a targeted web address. By sending multiple requests – from your computer and several other infected computers – the attack can overwhelm the target address… leading to a denial of service.

• Trojan-Downloader
Trojan-Downloaders can download and install new versions of malicious programs onto your computer – including Trojans and adware.

• Trojan-Dropper
These programs are used by hackers in order to install Trojans and / or viruses – or to prevent the detection of malicious programs. Not all antivirus programs are capable of scanning all of the components inside this type of Trojan.

• Trojan-FakeAV
Trojan-FakeAV programs simulate the activity of antivirus software. They are designed to extort money from you – in return for the detection and removal of threats… even though the threats that they report are actually non-existent.

• Trojan-GameThief
This type of program steals user account information from online gamers.

• Trojan-IM
Trojan-IM programs steal your logins and passwords for instant messaging programs – such as ICQ, MSN Messenger, AOL Instant Messenger, Yahoo Pager, Skype, and many more.

• Trojan-Ransom
This type of Trojan can modify data on your computer – so that your computer doesn’t run correctly or you can no longer use specific data. The criminal will only restore your computer’s performance or unblock your data, after you have paid them the ransom money that they demand.

• Trojan-SMS
These programs can cost you money – by sending text messages from your mobile device to premium rate phone numbers.

Trojan-Spy
Trojan-Spy programs can spy on how you’re using your computer – for example, by tracking the data you enter via your keyboard, taking screen shots, or getting a list of running applications.

• Trojan-Mailfinder
These programs can harvest email addresses from your computer.

• Other types of Trojans include:
o Trojan-ArcBomb
o Trojan-Clicker
o Trojan-Notifier
o Trojan-Proxy
o Trojan-PSW

Wi-Fi??

Bila shaka unaifahamu huduma hii ya wireless inayopatika katika simu zetu za mkononi na katika maeneo mbalimbali ya burudani, hotels, vituo vya bus na n.k.

Huduma hii imekuwa ikitumika sana hasa katika kuunganisha huduma ya Internet kwa njia ya wireless kutoka kufaa kimoja hadi kingine chenye uwezo huo/huduma hiyo ya wi-fi. Waweza unganisha simu yako na kompyuta yako ili kupata huduma ya Internet bila kuonganisha na wire au kati ya simu yako na jirani yako. 

Lakini njia hii inachangamoto ambayo uwenda si rahisi kuigundua na wakati mwingine ni kwasababu hatujui kile kinachoweza kutokea. 

Basi ukweli ni kwamba hii ni huduma bora inayokuwa kwa kasi sana duniani, lakini kuna changamoto kubwa pia hasa kwa usalama, unapaswa kuchukua taahadhari ikiwa wewe ni mpenzi wa kutumia wi-fi hasa kwenye maeneo ya uma. Yafutayo yatakusaidia.

1. Usiache Wi-Fi wazi ikiwa huitumii kwa wakati huo kwani wapo wezi wa mtandaoni wanauweza kuingilia simu yako kwa njia hiyo.

2. Usikubari mtu usiye mjua au usiemuamini atumie internet kupitia wi-fi ya simu yako kwani uwenda akawa ni mwizi wa mtandaoni. Kwakuwa anaweza kuingilia simu yako na kukusanya taarifa muhimu.

3. Hakikisha imeweka security code kwenye kifaa chako cha Wi-Fi ili iwe vigumu mtu access data.

4. Weka program itayokusaidia kukutambulisha ikiwa kuna mtu aliyejaribu kuingilia simu yako kupitia wi-fi au kukujulisha wi-fi unayotaka kuonganisha si salama.

Asante, nashukuru kwa kusoma taarifa hii waweza mjulisha mwingine kutembelea ukurasa huu. Nitafurahi pia kupata maoni yako.

#beSecure

​DONDOO MUHIMU! 

kiwa wewe ni mtumiaji mzuri wa huduma za kifedha iwe bank au kupitia simu za mkoni. 

Epuka haya usifanye:-
* Usitoe namba yako kwa siri kwa mtu yoyote. 

* Usitumie umri wako kama namba ya siri kwakuwa umri wako unaweza kujulikana popote. 

* Usitumie wakala eti kukusaidia kutoa kwakuwa wewe huwezi ni kutafuta mtu unayemuamini akakusaidie ili hata zikipotea umshike huyo kwanza. 

* Usimpe simu yako mtu usiye mjua eti ambeep mtu au kumpigia mtu, hizo ni mbinu tu waweza poteza pesa zako. 

#beSecure

​JE, UNGEPENDA KUFANYA TV YAKO KUWA YA KISASA ZAIDI? (SMART TV 📺) 

Hapa nazungumzia TV zenye uwezo wa kuonganishwa na cable aina HDMI, cable hiyo zimeundwa kupitisha Picha bora na muonekano angavu zaidi ukilinganisha na cable za AV ambazo watu wengi wamekuwa wakizitumia. 

Sasa tuone ni namna gani waweza kuifanya TV yako kuwa ya kisasa zaidi kama TV aina ya Smart ambazo TV hizo zimeundwa zikiwa na mfumo bora unaokuwezesha kutazama channels toka sehemu mbalimbali duniani, kutumia internet na n.k.
Unachotakiwa kufanya ikiwa TV yako ina port ya kupachika hiyo cable, nunua huo wire na connector inayoitwa HDML. Kifaa hiko ni maalumu kwa ajili ya kuunganisha na kifaa kingine chenye uwezo wa internet. Baada Ya kufanya hivyo (hangalizo ni muhimu uwe na simu aina smartphone 📱 ) 

Ikiwa vifaa vyote vipo ni kazi rahisi, onganisha cable yako kwenye TV kisha weka connector ambayo utapachika kwenye simu yako. Ruhusu simu kufanya connection na TV yako, kisha washa Internet data. 
Sasa kazi itakuwa imekwisha kila kitu kwenye simu kitaonekana kwenye uso wa TV yako. Waweza kuchapa kazi zako kwa uhuru zaidi, pia waweza kununua wireless keyboard 🎹 Na kuonganisha na simu yako pamoja na TV ukafanya kazi zako. 

Tazama YouTube kwenye TV yako sasa. 

Ukikwama karibu tusaidiane, maoni yanakaribishwa. Try It

​Wenye Samsung Galaxy Note 7 Wazizime simu zao kwa usalama. 

Samsung imetoa wito kwa watu wenye simu aina ya Galaxy Note 7 kuzizima mara moja huku ikifanya uchunguzi kubaini ni kwa nini simu hizo, hata zile ambazo kampuni hiyo ilikuwa imethibitisha kwamba ni salama, zinawaka moto.

Kampuni hiyo ya Korea Kusini imesema itasitisha uuzaji wote wa simu hizo.

Samsung iliwataka watu waliokuwa wamenunua jumla ya simu 2.5 milioni mwezi Septemba kuzirejesha madukani baada ya wateja wengi kulalamika kwamba betri za simu hizo zilikuwa zinalipuka. Walipewa simu mpya ambazo zilidaiwa kuwa salama.

Lakini sasa taarifa zimetokea kwamba hata simu hizo zilizodaiwa kuwa salama zinashika moto.

Mwanamume mmoja jimbo la Kentucky, Marekani anasema aliamka na kupata chumba chake cha kulala kimejaa moshi uliotokana na simu mpya ya Note 7 aliyokuwa ameipata baada ya kurejesha ya awali.

Siku chache awali, abiria kwenye ndege moja Marekani walitakiwa kuondoka kwa dharura ndegeni baada ya simu ya Note 7 kuanza kutoa moshi.

“Kwa sababu usalama wa wateja ni jambo tunalotilia maanani zaidi, Samsung itawataka wasambazaji wote na wauzaji wake kote duniani kusitisha uuzaji na pia ubadilishaji wa simu za Galaxy Note 7 uchunguzi unapoendelea,” kampuni hiyo imesema.

Simu nyengine ya Galaxy Note 7 yashika moto US “Wateja walio na simu asili za Galaxy Note 7 au simu za Galaxy Note 7 za kubadilisha, wanafaa kuzizima na kuacha kuzitumia na badala yake kutumia njia nyingine (kuendelea na shughuli zao),” kampuni hiyo imeongeza.

Ni watu wangapi wameathirika?

Samsung inasema simu zilizoathirika ni takriban 2.5 milioni. Kwa mujibu wa kampuni hiyo, simu 45,000 za Note 7 zimeuzwa Ulaya, na sana Uingereza. Zaidi ya asilimia 75 zilikuwa zimebadilishwa na wamiliki wake wakapewa simu nyingine za Note 7 au mitambo mingine ya Samsung.

Samsung sasa itashindwa na Apple?

Galaxy Note 7 ilitarajiwa na Samsung kuisaidia kushindana na simu ya Apple iPhone 7. Lakini baada ya matatizo hayo, Samsung imeathirika pakubwa na hisa zake kushuka. Hisa za Apple upande mwingine zimepanda sana thamani. Aidha, nembo ya Samsung kama kampuni ya kuaminika imeathirika sana. 

Wakala wa kulinda wateja Marekani amewahimiza watu kutotumia simu za Samsung ambazo wamebadilishiwa.

Mwenyekiti wa usalama katika tume hiyo ya Elliot Kaye amesema uamuzi wa Samsung wa kuacha kuuza simu hizo ni wa busara. 

Source BBC